Logo
Mama Imara Taifa Imara

Loading...

info@mamaimara.or.tz +255 781 777 777
Msaada Wako Una Thamani

Mchango Wako Unaweza Kubadilisha Maisha

Kupitia michango mbalimbali, tumefanikiwa kuwafikia kina mama wengi kwa huduma za afya, elimu, uwezeshaji wa kiuchumi na misaada ya kijamii.

Mama 1,000+ wamefikiwa

Kupitia elimu ya afya, lishe bora na huduma mbalimbali za kijamii.

Vikundi 50+ vimewezeshwa

Mafunzo, biashara ndogo na mitaji kwa kina mama.

“Mama akiwa imara, taifa linasimama imara.”

Kila mchango wako ni hatua ya kuijenga jamii bora.

Toa Mchango

Changia Kupitia Mfumo wa Malipo

Bonyeza kitufe hapa chini kuendelea kwenye mfumo rasmi wa malipo.

Endelea Kulipa

Mfumo wetu wa malipo ni salama, rahisi kutumia na wa haraka.

Changia

Malipo yako yanalindwa kwa usalama wa hali ya juu.

Pamoja Tunaweza

Kila mchango una nguvu ya kubadilisha maisha ya mama, mtoto na jamii nzima.

1,000+

Mama wamefikiwa

50+

Vikundi vya kiuchumi

20+

Matukio ya kijamii