Loading...
Tazama picha mbalimbali zinazoonyesha shughuli, semina, huduma za kijamii na programu zinazogusa maisha ya kina mama na jamii kwa ujumla.
Katika MAMA IMARA TAIFA IMARA tunaamini kuwa mwanamke mwenye nguvu ni msingi wa taifa imara. Kupitia matukio yetu mbalimbali tumekuwa tukitoa elimu, msaada, uwezeshaji na matumaini kwa wanawake kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania.
Tunafanya semina za afya, mafunzo ya biashara, makongamano ya wanawake, misaada ya kijamii, pamoja na programu za vijana wa kike kwa lengo la kujenga jamii bora yenye upendo, mshikamano na maendeleo endelevu.
Tazama picha mbalimbali zinazoonyesha shughuli, semina, programu na huduma tunazozifanya kwa ajili ya jamii.